March 7, 2026

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Samia amewezesha kuongezeka kwa bei ya Ufuta

Na Mwandishi wetu,Timesmajira

Serikali Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan,imesema bei ya ufuta imeongezeka kutoka shilingi 941 mwaka 2020 hadi shilingi 3,443 mwaka 2025.

Kiasi cha ufuta kilichouzwa nje mwaka 2020 ni tani 100,000 sawa na USD milioni 85
(TSh bilioni 200), wakati mwaka 2025 ziliuzwa tani 150,000 kwa zaidi ya USD milioni 300 sawa na TSh bilioni 780.

Hii ni ishara ya Rais Samia kuwajali zaidi wakulima kwa kuwatafutia masoko ya uhakika kupitia TMX.