Na Mwandishi wetu,Timesmajira
Daktari Shaimaa Nawwar ,ameteuliwa kwenda kwenye kura za maoni Ubunge Viti Maalum kupitia Kundi la Vijana (UVCCM) 2025-2030.
Dkt.shaimaa amejikita katika mbinu mbadala za kutatua changamoto za kiuchumi kwa vijana, anakuja na mikakati ya kisasa hasa kuwatengenezea vijana fursa za ndani na njee ya Nchi kwa wenye Elimu na wasio na elimu Dr shaimaa anakuja na platforms tofauti tofauti zitakazowapa vijana kutambulisha vipaji, bunifu, na biashara zao, anakuja atahakikisha anatafuta Masoko ya uhakika kwaajili ya kuuza bidhaa za vijana ili waweze kujikwamua kiuchumi.
Pia katika suala la Afya na uchumi huenda sambamba,

More Stories
Clara:Miaka 50 ya Sabasaba fursa mpya za Biashara na Uwekezaji
Usajili wa Laini za Simu: Jilinde Dhidi ya Kutumiwa Vibaya kwa Utambulisho Wako
TTCL yaadhimisha siku ya Wanawake kwa kutoa msaada JKCI