Na Mwandishi wetu,Timesmajira
Mwenyekiti wa Shina la JPM lililopo kata ya Kariakoo na Mjumbe wa Baraza kwenye Jumuiya ya Wazazi Kata ya Kariakoo,Rashid Kilua ameteuliwa kwenda kwenye kura za maoni Ubunge Jimbo la Bumbuli
wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga 2025-2030.
Huku aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo,Januari Makamba akitubwa nje.
Ikumbukwe kuwa Kilua ni mjasiriamali wa Kariakoo na mdau wa Maendeleo kwenye mambo ya kijamii.

More Stories
Washindi ‘kila muamala bao la ushindi’ waendelea kupeta
TMA yaeleza faida taarifa hali ya hewa
Wananchi wapata elimu ubora,usalama na bidhaa