Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameongoza Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) kilichofanyika tarehe 20 Juni, 2024 Jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu Wizara wa Mifugo na Uvuvi Profesa Riziki Shemdoe akizungumza jambo wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) kilichofanyika tarehe 20 Juni, 2024 Jijini Dar es Salaam Mratibu wa Program ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Salimu Mwinjaka akieleza jambo wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Kapteni Hamad Bakar Hamad akifafanua jambo wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP). Kiongozi wa Timu ya Mshauri Muelekezi wa upembuzi yakinifu wa ununuzi wa Meli za Uvuvi kutoka Kampuni ya DMG na Chuo Kikuuu Cha Dar es Salaam Dkt. Aloyce Hepelwa akiwasilisha taarifa ya upembuzi yakinifu wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP). Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uvuvi Nchini (TAFICO) Bw. Denis Simba akizungumza wakati wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha Kamati Tendaji cha Makatibu Wakuu cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) wakifuatilia hoja wakati wa kikao hicho. Post Views: 81 Continue Reading Previous INEC yawataka watendaji wa uboreshaji kutunza vifaaNext NBAA yatangaza matokeo ya Mei 2024 More Stories 1 min read Habari Wananchi 3000 wanufaika na matibabu bure kigamboni October 8, 2024 Iddy Lugendo 3 min read Habari Vikundi vya Kijamii Chalinze vyapigwa msasa NMB Kijiji Day Miono October 8, 2024 Jackline Mkota 2 min read Habari Elimu, muarobaini wa ajali mbalimbali October 8, 2024 Judith Ferdnand
More Stories
Wananchi 3000 wanufaika na matibabu bure kigamboniÂ
Vikundi vya Kijamii Chalinze vyapigwa msasa NMB Kijiji Day Miono
Elimu, muarobaini wa ajali mbalimbali