Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kuweka kumbukumbu kwenye ukuta wa Handaki kubwa mara baada ya kumaliza kulikagua Handaki hilo mkoani Kilosa mkoani Morogoro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Eng. Isack Kamwelwe pamoja na viongozi mbalimbali akiweka jiwe la msingi Ujenzi wa Barabara ya Dumila-Kilosa-Mikumi sehemu ya Rudewa-Kilosa Km 24 katika sherehe zilizofanyika katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipita ndani ya Handaki kubwa lenye urefu wa kilometa 1.1 kulikagua mara baada ya kuweka jiwe la msingi la miradi hiyo ya ujenzi Kilosa mkoani Morogoro.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mawaziri, baadhi ya Viongozi wa Serikali, katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Kampuni zinazojenga mradi wa Reli ya Kisasa SGR Kilosa mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipita kwenye handaki la Reli ya Kisasa ya SGR lenye urefu wa Km 1.1 ambalo litapitisha treni hiyo katika eneo la milima ya Kilosa mkoani Morogoro. Kulia ni Sehemu ya Handaki kubwa lenye urefu wa Kilometa 1.1 ambalo litapitisha treni hiyo katika eneo la milima ya Kilosa mkoani Morogoro. Â Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa Waziri wa Ujenzi Eng. Isack Kamwelwe wakati akionesha sehemu sehemu litakapojengwa daraja la kupitisha Reli katika Mto mkondoa Kilosa mkoani Morogoro
More Stories
Kiswaga:Magu imepokea bilioni 143, utekelezaji miradi
Zaidi ya milioni 600 kupeleka umeme Kisiwa cha Ijinga
Kamishna Hifadhi ya Ngorongoro atakiwa kupanua wigo wa Utalii nchini