Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi (kushoto) akiagana na aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa katika ofisi hiyo Meja Jenerali Charles Mbuge (kulia) mara baada ya kumaliza muda wake wa utumishi katika ofisi hiyo.Ameagana naye tarehe 04 Oktoba 2023 katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dodoma. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi (wa kwanza kushoto) Pamoja na Naibu wake Bw. Anderson Mutatembwa (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa katika ofisi hiyo Meja Jenerali Charles Mbuge (katikati) mara baada ya mazungumzo yao ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake wa utumishi katika ofisi hiyo. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Anderson Mutatembwa akiagana na aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa katika ofisi hiyo Meja Jenerali Charles Mbuge mara baada ya kumaliza muda wake wa utumishi katika ofisi hiyo. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi (wanne kutoka kushoto) Naibu wake, Bw. Anderson Mutatembwa (wa tatu kutoka kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa katika ofisi hiyo Meja Jenerali Charles Mbuge (wanne kutoka kulia) tarehe 04 Oktoba 2023 katika ofisi yake Jijini Dodoma.(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU Post Views: 635 Continue Reading Previous Chongolo atoa miezi miwili TAMISEMI kupeleka fedha TanganyikaNext Mwanafunzi anayedaiwa kumkata panga mwalimu apandishwa kizimbani More Stories Habari Mjumbe wa Baraza UWT ahimiza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM November 24, 2024 zena chitwanga Habari CCM imejipanga kushinda kwa kishindo November 23, 2024 Judith Ferdnand Habari Wanaotumia lugha za matusi,kashfa kwenye kampeni waonywa  November 23, 2024 Judith Ferdnand
More Stories
Mjumbe wa Baraza UWT ahimiza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM
CCM imejipanga kushinda kwa kishindo
Wanaotumia lugha za matusi,kashfa kwenye kampeni waonywa Â