Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Simba kabla ya kuanza kwa mchezo baina ya Simba na Power Dynamos ya Zambia uliofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wachezaji wa timu ya Simba kabla ya mechi na timu ya Power Dynamos ya Zambia iliyofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wachezaji wa timu ya Power Dynamos ya Zambia kabla ya mchezo na Simba uliofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Jezi ya Timu ya Simba kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Salim Abdallah Try Again wakati wa Sherehe za Simba Day 2023 zilizofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na Jezi ya Simba mara baada ya kukabidhiwa kwenye Tamasha la Simba Day 2023 lililofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Shukran kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Salim Abdallah Try Again wakati wa Sherehe za Simba Day 2023 zilizofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023. Post Views: 324 Continue Reading Previous Simba SC Nyegezi Stendi washerekea Simba Day kwa kutembelea wafungwaNext Amsha Mzuka na shilingi Milioni moja na Smarphone kutoka Parimatch More Stories 2 min read Michezo Yanga SC yamuunga mkono Rais Samia kutangaza Utalii May 19, 2024 Hamisi Miraji 2 min read Michezo Waziri Mkuu ataka Mbeya Tulia Marathon kuongeza wigo May 11, 2024 Judith Ferdnand 1 min read Michezo Tigo washiriki Tulia Marathon 2024 May 11, 2024 Jackline Mkota
More Stories
Yanga SC yamuunga mkono Rais Samia kutangaza Utalii
Waziri Mkuu ataka Mbeya Tulia Marathon kuongeza wigo
Tigo washiriki Tulia Marathon 2024