Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akichangia moja ya mada katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023. Viongozi mbalimbali kutoka ndani na Nje ya Tanzania wakiwa kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC) kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023. Rais wa Kenya Mhe. William Ruto pamoja na Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus Chakwera wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya kumbukumbu na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto, Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus Chakwera, Rais wa Madagascar Mhe. Andry Rajoelina, Rais wa São Tomé na Principe Mhe. Carlos Vila Nova pamoja na Rais wa Sierra Leone Mhe. Julius Maada Bio wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JINCC) Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023. Post Views: 533 Continue Reading Previous WanaCCM watahadharishwa mchezo mchafu wa kuichafua serikaliNext Matukio katika picha, mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu More Stories Habari Wasanii wahimizwa kuwa mabalozi wa utunzaji wa fedha August 31, 2026 Penina Malundo Habari Kitaifa Serikali yaongeza ulinzi watoto dhidi ya ukatili mtandaoni August 31, 2026 joyce kasiki Habari Mikoani Serikali yahakikishia ajira wenye ulemavu August 31, 2026 joyce kasiki
More Stories
Wasanii wahimizwa kuwa mabalozi wa utunzaji wa fedha
Serikali yaongeza ulinzi watoto dhidi ya ukatili mtandaoni
Serikali yahakikishia ajira wenye ulemavu