Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwenyekiti na Rais wa Big Win Philanthropy Jamie Cooper mara baada ya Kikao chao kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe leo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Mwenyekiti na Rais wa Big Win Philanthropy Jamie Cooper aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe leo.
More Stories
CCM yajipanga Uchaguzi 2025, mchakato wa uteuzi kuanza Mei
Waziri Riziki Pembe: Tutaendelea kushirikiana na polisi kukomesha udhalilishaji Zanzibar
Raia Mwinyi :Zanzibar Ina Sera Bora kwa uwekezaji