Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online
Kamanda wa Polisi MKoa wa Arusha kamishina msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amesema kuwa Tarehe 17 . 02. 2022 muda wa saa 09:00 Alasiri huko kitongojicha OLODONYOKERI Kijiji na kata ya OLOLOSOKWAN wilayaya Ngorongoro Mkoa wa Arusha watu wawili walieruhiwa kwa kupigwanan radi wakiwamachungani nakusababisha majeraha sehemu mbalimbali za miliyao.
Kamanda Masejo amewambia waandishi kuwa Waliojeruhiwa na radi hiyo ni SASINES/ONAROK@BABU (25) mkaziwa ololosokwani na mwingine ni KISHUYAN S/O TERYA@KIYOMI(28) majeruhi hao walikimbizwa katika zahanati ya kijiji cha ololosokwani na kupatiwamatibabu.
Ameendelea kusema kuwa uchunguzi wa awali umebaini chanzo cha tukio hilo ni matumiziya simu wakati mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha na kuambatana na radi ambayo ilipelekea wahanga hao kujeruhiwa sehemu mbalimbali ya mili yao na radi hiyo.
ACP MASEJO ametoa wito kwa wananchi kuwa makini na kuchukua tahadhari hasakipindi cha mvua kubwa ambazo huambatana na radikali,Pia amewataka kuacha mara mojamatumizi ya vifaa vya umeme ikiwemo simu wakati wa mvua kwani kwa kufanya hivyo kuta waepusha na madhara makubwa ya nayoweza kutokea
More Stories
Rais Samia kuzindua mfuko wa kuendeleza kazi za wabunifu
Makalla ampongeza Lissu kukiri CHADEMA haina wagombea Serikali za Mitaa
Chande azindua misheni ya uangalizi uchaguzi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika