Na Waandishi Wetu, TimesMajira Online
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Magufuli amesema kuwa ataendelea kuwaamini wanawake katika nafasi mbalimbali za uongozi wake.
Ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akihutubia mkutano wa kwanza wa Bunge la 12.
”Nipende kuwambia wanawake Serikali yangu itaendelea kuwaamini na kuwapa nafasi mbalimbali za uongozi maana nimeona mnavyochapa kazi ndio maana hata Makamu wa Rais ni Mwanamke,”amesema Rais Magufuli.

More Stories
Ujuzi wa Wezesha Binti wawasaidia vijana kujiajiri na kupata ajira
Watumishi wawili wafutwa kazi kwa utovu wa nidhamu
Kamati yapongeza WRRB, yataka WRS itumike kwa parachichi