Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wamepiga kura katika Kituo cha Kupigia Kura cha Idara ya Maji Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma.Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Magufuli akipiga kura katika Kituo cha Kupigia kura cha Idara ya Maji Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma.
More Stories
Kiongozi wa Mwenge awataka RUWASA kukamilisha mradi wa maji kwa wakati Kilindi
Balozi Nchimbi aongoza waombolezaji kumuaga Mzee Mongella
Ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kumuua mama yake mzazi