Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Msafiri Mbibo akizungumza na Katibu Tawala wa Wilaya ya Mpwapwa Sarah Komba wakati Naibu Kamishna Mkuu huyo alipomtembelea ofisini kwake ambapo alimshukuru kwa ushirikiano unaotolewa na uongozi mzima wa wilaya hiyo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania. Picha zote na Veronica Kazimoto Afisa Msimamizi wa Kodi wa Kituo cha Huduma za Kodi cha Kibaigwa kilichopo chini ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mohammedy Madebe akichangia hoja wakati Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo Msafiri Mbibo alipotembelea kituo hicho kwa lengo la kuwapa hamasa watumishi kuendelea kufanya kazi kwa bidii na weledi katika ukusanyaji mapato ya Serikali. Kaimu Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Wilaya ya Mpwapwa Nelson Makweta akiwatambulisha watumishi wa TRA wilayani humo wakati Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo Bw. Msafiri Mbibo alipowatembelea kwa lengo la kuwapa hamasa watumishi hao kuendelea kufanya kazi kwa bidii na weledi katika ukusanyaji mapato ya Serikali. Post Views: 1,420 Continue Reading Previous Kukamilika kivuko cha Ukara kutafungua uchumi wa UkereweNext Mgombea urais ADC aahidi kurejesha kiwanda cha kuzalisha gesi Mtwara More Stories Habari Mjumbe wa Baraza UWT ahimiza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM November 24, 2024 zena chitwanga Habari CCM imejipanga kushinda kwa kishindo November 23, 2024 Judith Ferdnand Habari Wanaotumia lugha za matusi,kashfa kwenye kampeni waonywa  November 23, 2024 Judith Ferdnand
More Stories
Mjumbe wa Baraza UWT ahimiza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM
CCM imejipanga kushinda kwa kishindo
Wanaotumia lugha za matusi,kashfa kwenye kampeni waonywa Â