Na Mwandishi wetu, Timesmajira
WAZIRI wa Nidhati, Deogratius Ndejembi ameliomba Bunge kuidhinisha jumla ya bajeti ya Shilingi trilioni 2.5 kwa ajili ya Wizara ya Nishati na taasisi zake kwa mwaka 2026/27 ili kuwezesha utekelezaji wa majukumu yaliyopangwa.
Amefafanua kuwa kati ya fedha hizo, asilimia 97.5 sawa na zaidi ya Shilingi trilioni 2.46 zitatumika kwenye miradi ya maendeleo, huku fedha za ndani zikichangia sehemu kubwa na zilizobaki zikiwa ni fedha za nje.
Ndejembi aliongeza kuwa asilimia 2.5 ya bajeti hiyo, sawa na zaidi ya Shilingi bilioni 63, zitatumika kwa matumizi ya kawaida ikiwemo gharama za uendeshaji na mishahara ya watumishi wa wizara pamoja na taasisi zake kama PURA.


More Stories
Mbega ataka viongozi kuimarisha ulinzi kudhibiti wageni
Mbega ataka viongozi kuimarisha ulinzi kudhibiti wageni.
Kero za Walimu kutoshughulikiwa kwa wakati chanzo Cha msongo wa mawazo-CWT