Na Mwandishi wetu,Timesmajira
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari akiwasilisha Azimio la Bunge la kumthibitisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bungeni Jijini Dodoma, tarehe 13 Novemba, 2025.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amewasilisha Azimio hilo mbele ya Bunge kufuatia uteuzi uliofanywa na Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa kumteua,Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.




More Stories
Wanawake jumuia ya kikristo Tanzania CCT wafundana kuelekea siku ya Wanawake Duniani
Dkt.Tulia,Mwalunenge waungana kutatua changamoto ya barabara
TUCASA yaomba kuanzishwa sheria malipo sekta ya ujenzi