Na Mwandishi wetu, Timesmajira
Mgombea wa Urais Zanzibar kupitia ACT Wazalendo Othman Masoud Othman leo amezindua Timu OMO kupitia Ngome za Vijana 100, Wazee 20 na ngome wa Wanawake 50 kila Jimbo ambao watasimamia ushindi wake, shuhuli hiyo imefanyika katika Ukumbi wavPica Dil kombeni Mkoa wa Mjini Unguja





More Stories
Matumizi magari ya umeme kuongeza umuhimu gesi asilia
Serikali yataka ulinzi,uwezeshaji wajane
Serikali yajipanga kuwa rafiki wa biashara