Na Penina Malundo ,Timesmajira MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umezindua mpango mkakati wa miaka mitano (2023-2027)...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online HAKIMU Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Yusto Ruboroga ameahirisha hukumu ya kesi...
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amezihamasisha nchi za Afrika kutumia lugha ya kiswahili ili kuondoa...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Seattle, Washington State, Marekani. Muziki na sanaa nyingine za Tanzania vitapata fursa nyingine muhimu kuzidi...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Benki ya NMB imedhibitisha uongozi na sifa yake ya kuwa taasisi kinara wa huduma za...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Wananchi waliotembelea maonyesho ya huduma za kifedha yanayoendelea jijini Mwanza yameipongeza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Zikiwa zimepita siku chache tokea kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia huko nchini Qatar,...
Na Iddy Lugendo, Timesmajira Online NAIBU Waziri wa Ofisi Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amesema...
Na Ashura Jumapili, TimesMajira Online, Bukoba. Nazir Karamagi ,amerejea kwenye ulingo wa siasa kwa kishindo baada ya kupata kura 669...
Na MWANDISHI WETU, Babati KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema...